pmbet

Rayvanny atamba na rekodi za kibabe Afrika.

Joyce Shedrack

September 2, 2025
Share :

Staa wa muziki wa bongofleva Rayvanny, ameonesha kujivunia rekodi alizoziweka mpaka sasa Afrika na Tanzania kuitia muziki wake huku akioredhesha rekodi hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Rayvanny kumtambulisha msanii mpya - SpotiLEO
Miongoni mwa rekodi ambazo msanii huyo anatamba nazo ni pamoja na kuwa msanii wa kwanza na pekee kutoka Tanzania kushinda Tuzo ya BET,kushika namba 1 kwenye Global Trending na Billboard huko Mexico,kutumbuiza kwenye majukwaa makubwa ikiwemo CHAN, Coca-Cola Arena (Dubai), na Accor Arena (Paris).

Aidha Rayvanny pia amevunja rekodi kwenye majukwaa ya kidijitali, akiwa msanii wa kwanza kufikisha wasikilizaji milioni 104 YouTube Music na kufikisha Reels laki 800K kwenye Instagram.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet