pmbet

Rayvanny kuja na ngoma mpya ya Singeli.

Joyce Shedrack

April 29, 2025
Share :

Mwanamuziki wa bongofleva na Mmiliki wa Lebo ya Next Level Music Rayvanny ameweka wazi kuonesha tamaa yake ya kufanya muziki wa singeli akidai kuwa tayari anayo ngoma kali ila hajui aimbe na msanii gani.

AUDIO Rayvanny – Alone Acoustic Mp3 Download
Rayvanny ni miongoni mwa wanamuziki ambao wakitoa Remix ya ngoma flani inakubalika kuliko hata ngoma yenyewe, lakini alishawahi pia kuufanya muziki huo kupitia kolabo yake na Dulla Makabila iliyoenda kama Missbuza lakini pia na Misomisondo.

Unadhani ni mwanamuziki gani wa singeli akifanya ngoma na Rayvanny wataua ?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet