pmbet

Real Madrid yapata pigo kuelekea mechi dhidi ya Barcelona.

Joyce Shedrack

April 24, 2025
Share :

Wachezaji wawili wa Real Madrid Kiungo Eduardo Camavinga na David Alaba wanatarajia kukosa mchezo wa Fainali wa Copa del Rey dhidi ya Barcelona siku ya jumamosi ya April 26,2025.

Alaba and Camavinga set to miss Copa del Rey final

Nyota hao wamepata majeraha ya misuli kwenye ushindi wa goli 1-0 walioupata Real Madrid usiku wa jana dhidi ya Getafe kwenye mchezo wa ligi kuu Hispania Laliga.

 

Kocha Mkuu wa Real Madrid Carlo Ancelotti amethibitisha kuwa wachezaji wao hawatakuwa sehemu ya kikosi kitakachoshuka dimbani siku ya jumamosi kupambania ubingwa wa Copa del Rey dhidi ya wapinzani wao wakubwa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet