pmbet

Rekodi ya mchezaji mdogo zaidi kuwahi kucheza mechi ya kulipwa.

Joyce Shedrack

April 21, 2026
Share :

Eric Godpower Marshall raia wa Liberia alitikisa vichwa vya habari kwa kuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kujulikana kucheza mechi ya soka ya kulipwa.
May be an image of soccer, football and text
Nyota huyo Akiwa na umri wa miaka 10 na miezi 11 tu Alivunja rekodi hiyo alipocheza kwa timu ya daraja la nne nchini Liberia, Gar’ou FC, mnamo Aprili 2021.

Kwa sasa akiwa na miaka 15 Marshall tayari yuko kwenye hatua ya kimataifa, baada ya kuitwa kujiunga na kikosi cha Liberia kwa ajili ya Mashindano ya Shirikisho la Soka la Afrika Magharibi (WAFA) U20.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet