pmbet

Rekodi za derby ya Kariakoo, Simba na Yanga kihistoria

Joyce Shedrack

August 8, 2024
Share :

Yanga na Simba leo saa 1 usiku kwenye dimba la Benjamin Mkapa zitachecheza mchezo wao wa kwanza wa kimashindano msimu huu wakikutana kwenye nusu fainali ya kwanza ya Ngao Ya Jamii 2024.

Haya ni baadhi ya mambo ya kihistoria kuhusu klabu hizo kongwe na watani wa jadi zinapokutana;

👉 Kukutana (Head to Head) - 138

- Simba kushinda - 41
- Yanga kushinda - 54
- Sare - 43
- Simba kupata hati safi (clean sheets) - 37
- Yanga kupata hati safi (clean sheets) - 47

👉 Kukutana kwenye ligi - 109

- Simba kushinda - 29
- Yanga kushinda - 39
- Sare - 41
- Simba imefunga mabao - 103
- Yanga imefunga mabao - 122

👉 Rekodi zingine

- Kukutana mara ya kwanza
• 7/6/1965
• Matokeo: Yanga 1-0 Sunderland
• Mfungaji wa bao: Mawazo Shomvi

- Ushindi mkubwa kati yao
• Simba 6-0 Yanga
• 10/7/1977

- Rekodi ya mabao mengi kwenye mechi 1
• Abdallah Kibaden
• Mabao matatu (hat-trick)

🔥 Next stop

🎮 Yanga vs Simba
🏟️ Benjamin Mkapa Stadium
🕰️ 19:00pm

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet