Reli ndefu zaidi duniani
Sisti Herman
January 7, 2025
Share :
Safari ndefu zaidi ya treni duniani, inayochukua siku 21, inaanzia Porto, Ureno, na kuishia Singapore, ikichukua maili 11,650, ikivuka nchi 13 kupitia miji mashuhuri kama Paris, Moscow, Bangkok.
Abiria watasafiri kupitia nchi zikiwemo Ufaransa, Ujerumani, Urusi, Uchina na Vietnam, wakitoa maoni mazuri.
Gharama ya safari nzima inakadiriwa karibu $1350 (zaidi ya Tsh 3 Miloni).