Rema azua gumzo, aiteka Ufaransa
Joyce Shedrack
March 27, 2024
Share :
Wasanii kutoka Nigeria wanazidi kupasua anga kimataifa na sasa ni zamu ya Rapa Rema ambaye ameweka rekodi nchini Ufaransa baada ya album yake ya ‘Rave and Roses’ kufikisha Units laki 5 na kuwa msanii wa pili kutoka Nigeria kuifikia rekodi hiyo.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.