pmbet

Ribery awa mchezaji wa kwanza kutajwa kwenye mafaili ya Epstein

Sisti Herman

February 10, 2026
Share :

 

Legendari wa Bayern Munich, Franck Ribéry, ametajwa kwenye nyaraka zilizotolewa na Idara ya Sheria ya Marekani (U.S. Department of Justice) zinazohusiana na kesi ya Jeffrey Epstein, baada ya jina lake kutajwa na mmoja wa walalamikaji.

 

Hata hivyo, hakuna mashtaka rasmi wala tuhuma za makosa ya jinai zilizofunguliwa dhidi ya Ribéry kuhusiana na kesi hiyo ya Epstein. Watu wengi waliotajwa kwenye mafaili hayo wamejumuishwa bila kuwepo kwa tuhuma zozote rasmi za kisheria dhidi yao.

 

Maelezo hayo yametokana na ushahidi uliomo ndani ya nyaraka hizo, ambao unahusisha madai na tuhuma ambazo bado hazijathibitishwa au kufanyiwa majaribio katika mahakama ya sheria.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet