pmbet

Rick Ross amtaja Burna Boy kama msanii wake bora kwa Afrika

Eric Buyanza

March 4, 2024
Share :

Rapa wa Marekani, Rick Ross amemtaja msanii wa Nigeria, Burna Boy kuwa msanii bora wa Afrika wa muda wote.
 

Akiongea live kwenye ukurasa wa Instagram wa rapa wa Afrika Kusini, Nasty C, Rick Ross  alimtaja Burna Boy kama nambari moja katika orodha yake ya wasanii bora wa muda wote wa Afrika na namba mbili akimpa Akon.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet