pmbet

Rihana awatangazia mashabiki, "Niko tayari kurudi Studio"

Eric Buyanza

June 12, 2024
Share :

Kutoka nchini Marekani mwanamuziki bilionea, Rihanna amedokeza kuwa atatoka mapumzikoni hivi karibuni.

Mkali huyo wa ngoma ya 'Diamond' ambaye hivi karibuni alizua tafrani kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa amevaa tisheti iliyoandikwa ‘Nimestaafu’, amedokeza kwenye mahojiano ya hivi karibuni kuwa anarejea studio.

"Nimekuwa nikifanyia kazi albamu yangu mpya kwa muda mrefu sana na sasa niko tayari kurudi studio, "alisema.

Rihanna, ambaye hajatoa albamu tangu 2016, aliwahi kuahidi kwamba angetoa albamu yake mpya hivi karibuni.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet