pmbet

Rihanna aonyesha sura ya binti yake kwa mara ya kwanza.

Joyce Shedrack

April 21, 2026
Share :

Kupitia Jarida la W staa muziki duniani Rihanna ameonesha sura ya binti yake Rocki kwenye Cover ya jarida hilo ikiwa ni kwa Mara ya kwanza sura ya binti yake kuonekana mtandaoni baada ya kuzaliwa kwake September 13, 2025
Inside Rihanna and A$AP Rocky's Life With Baby Girl Rocki
Kama ilivyo kawaida kwa star Kama Rihanna Wengi wametoa maoni Yao baada ya Mtoto huyo kuonekana wengine wakidai amefanana zaidi na baba yake ambaye ni Asap Rocky na wengine kusema kuwa hata kwenye cover hiyo mtoto ameonekana vizuri zaidi ya Mama yake ambaye kwa Hivi sasa ana watoto watatu RZA, Riot na Rocki.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet