pmbet

Rihanna azua gumzo kisa utajiri wake kuporomoka ghafla.

Joyce Shedrack

June 5, 2025
Share :

Kwa Mujibu Wa jarida la Forbes, Utajiri Wa Mwanamuziki Rihanna umeshuka kwa 29% kutoka $1.4B (Tsh Trilioni 3.7/=) hadi $1B sawa na Trilioni 2.6.

Rihanna Says She Finally 'Cracked The Code' On Long-Awaited New Album
Kuporomoka kwa utajiri wa msanii huyo kunahusishwa na changamoto za biashara zake za ‘Fenty Beauty Pamoja Na Savage X Feny’. licha ya changamoto hizo Rihanna bado ni Bilionea.

Hivyo Rihanna amebaki kuwa na utajiri wa Tsh Trilioni 2.6/=.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet