pmbet

Rihanna na Asap Rocky wazua gumzo baada ya kuanika mapenzi yao hadharani.

Joyce Shedrack

May 20, 2025
Share :

Mwanamuziki staa na Mfanyabiashara Bilionea wa kike Rihanna usiku wa Tamasha la filamu la Cannes huko Nchini Ufaransa aliwashangaza watu kwa kuhudhuria kwake akionyesha sapoti kwa mpenzi wake Asap Rocky ambae ni baba wa watoto wake wawili wakitegemea watatu kumpata hivi karibuni.

Rihanna supports A$AP Rocky at 'Highest 2 Lowest' world premiere in Cannes  - ABC News
Asap Rocky ameshiriki kwenye Filamu ya mkongwe Denzel Washington na Director Spike Lee inayoitwa 'HIGHEST TO LOWEST' Itakayotoka Rasmi agosti 22, 2025. Ambapo katika Tamasha Hilo la cannesfilmfestival ndio waliitambulisha Rasmi kwa mara ya kwanza .

Kapo hiyo ilionekana ikionyesha Mapenzi yao ya dhati kwa Kila mmoja hasa walipokuwa kwenye red carpet wengi waliowaona wakiwaita ndege wapenzi yaani 'LoveBirds', ambapo wawili hao wameonyesha mara kadhaa namna wapenzi wanavyopaswa kusapotiana katika harakati mbali mbali za Kimaisha wao wakisimama kama mfano sa kuigwa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet