pmbet

Rio ashangaa Pepe hazeeki

Sisti Herman

February 25, 2024
Share :

Beki wa zamani wa Manchester United na timu ya Taifa ya Uingereza Rio Ferdiand ameshangaa kuona beki wa zamani wa Real Madrid na btimu ya Taifa Ureno Pepe ambaye kwasasa anakipiga kwenye klabu ya FC Porto kuendelea kuonyesha kiwango bora akiwa na umri wa miaka 41 sasa.

 

“Jumatatu anaenda kutimiza miaka 41, Inashangaza na kuchekesha ukifikiria namna alivyotimamu kimwili ndiyo maana nikamwambia unafanyaje hivi akafurahi na akaonekana bado anajiamini” alisema Rio akieleza alivyokutana na Pepe.

 

Pepe na Rio walikutana kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa Ulaya kati ya Arsenal na Porto, Pepe akichezea Porto, Rio akiwa mchambuzi wa kituo cha TNT Sports, Arsenal ikipoteza 1-0 kwa kina Pepe.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet