pmbet

Roberto Martinez kuwa kocha mkuu wa Ureno

Sisti Herman

August 29, 2026
Share :

 

Kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya kaskazini mwa Afrika, aliyekuwa kocha mkuu wa Ureno, Roberto Martínez, ana nia ya kuchukua nafasi ya ukocha mkuu wa Algeria.

 

Inaripotiwa kuwa yuko tayari kupunguza mahitaji yake ya mshahara na kumjumuisha kocha msaidizi raia wa Algeria katika benchi lake la ufundi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet