pmbet

Robinho apewa ukocha ndani ya Jela

Sisti Herman

September 5, 2025
Share :

 

Robinho anatumikia kifungo cha miaka 9 huko São Paulo, kulingana na ripoti ya CNN Brazil, amechukua jukumu la ukocha ndani ya gereza.

Kwa sasa anasimamia timu katika mashindano ya ndani yaliyoandaliwa kwenye gereza.

Umaarufu wake umeongezeka hata miongoni mwa wafungwa, na anapokea kutembelewa na watu wanaotaka kukutana naye na kupata picha au autographs.

Wakati kifungo chake kitakapomalizika, atakuwa na umri wa karibu miaka 50.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet