'RockBitch' Bendi iliyofanya ngono na mashabiki
Eric Buyanza
February 9, 2024
Share :
#JeWajua Bendi ya muziki ya 'Rockbitch' iliyoanzishwa mwaka 1984 nchini Uingereza, ilikuwa na utaratibu wa ajabu kuwahi kutokea kwenye matamasha yao.
UTARATIBU GANI?
Rockbitch ilipata umaarufu sana kwa kufanya vitendo vya ngono stejini na pia kufanya hivyo na mashabiki kupitia "Kondomu ya Dhahabu".
Wakati wa maonyesho yao, kondomu ilitupwa kwenye umati na yeyote aliyewahi akaidaka basi alichukuliwa nyuma ya jukwaa na kufanya ngono na washiriki wa bendi hiyo.
Rockbitch ilikutana na upinzani mkubwa kwenye miji kadhaa waliyodhuru kwa ajili ya matamasha haswa Uingereza, Ujerumani na Norway ambapo mara kadhaa matamasha yao yalipigwa marufuku.
Wanamuziki wa bendi hiyo waliishi pamoja kwenye nyumba moja huko Ufaransa.