pmbet

Rodrygo: "Manchester City ndio Timu Bora Duniani"

Eric Buyanza

May 31, 2024
Share :

Fowadi wa Kibrazil wa Real Madrid, Rodrygo hivi majuzi ameonyesha mashaka yake kuhusu mustakabali wake kwenye klabu hiyo baada ya kuwasili kwa Mbrazil mwenzake, Endrick akitokea klabu ya Palmeiras. 

Kwenye moja ya mahojiano aliyoyafanya, Rodrygo alinukuliwa akisema “Nina mkataba hapa, lakini miaka niliyokaa hapa imekuwa ya furaha,”.....maneno ambayo yaliacha maswali mengi kwenye vichwa vya wapenda soka.

Hakuishia hapo Rodrygo alikisifu kikosi cha Guardiola kwa kusema;....."Kwangu mimi, ni timu bora zaidi duniani, inayocheza soka bora" 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet