Roma Atoa Albamu yake ya 'Nipeni Maua Yangu'
Sisti Herman
June 6, 2024
Share :
Msanii maarufu wa Hip-hop nchini Roma Mkatoliki ameachia rasmi Albamu yake aliyoibatiza jina la 'Nipeni Maua Yangu' ambayo ina nyimbo 15 ambapo pia amewashirikisha wasanii mbalimbali.
Hizi ni nyombo 15 zilizopo kwenye albamu hiyo;
1. Nipeni Maua Yangu
2. Hatulipii Uhai
3. Wape Habari
4. Nitasimama Tena
5. Nasikia Harufu
6. Nishaachana Naye
7. Narudi
8. Tunaball
9. Punguza Ushauri
10. Celebrate
11. Derby (Paka & Panya)
12. Namuachia Mungu
13. Mimi ni Nani?
14. Story Ndiyo Itakayobakia
15. Condolences