pmbet

Ronaldo a-like video ya Filipe Melo akiwaponda wachezaji wa Ureno

Sisti Herman

October 4, 2026
Share :

 

Nyota Cristiano Ronaldo ameonyesha kuwa amependezwa (kwa kubofya 'like') chapisho la Instagram ambamo mchezaji wa kimataifa wa Brazil Felipe Melo anawakosoa wachezaji wa Ureno.

“Hawamchukulii Ronaldo vile ambavyo wachezaji wa Argentina humchukulia Messi. Hakuna hata mmoja wao anayeweza kulinganishwa na Cristiano,” Melo aliambia @sportv.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet