Ronaldo afikisha magoli 100 ligi kuu Saudi Arabia
Sisti Herman
May 8, 2026
Share :

Baada ya jana kufunga goli 1 kwenye ushindi wa 4-2 wa Al Nassr dhidi ya Al Shabaab kwenye ligi kuu Saudi Arabia, nyota wa Ureno Cristiano Ronaldo sasa amefikisha rasmi magoli 100 na kuingia kwenye 5 bora ya wafungaji bora wa muda wote wa ligi hiyo.
Hawa ndiyo wafungaji bora wa muda wote wa ligi hiyo;
1. Majed Abdullah – 189 goals
2. Omar Al Somah – 155+ goals (primarily for Al Ahli)
3. Nasser Al-Shamrani – 114+ goals
4. Mohammed Al-Sahlawi – 105+ goals
5. Cristiano Ronaldo - 100 goals
Ronaldo amefikisha magoli 100 baada ya michezo 105 huku akiwa na asisti 18 akiwa na miaka 41 hadi sasa.





