Ronaldo awajibu wanaotaka kujua lini atastaafu
Eric Buyanza
January 20, 2024
Share :
Akijibu maswali ya waandishi wa habari alipoulizwa mipango yake ya baadae na lini haswa atastaafu kucheza soka.
Staa wa soka duniani Cristiano Ronaldo ambaye mwezi ujao anafikisha miaka 39 alitoa jibu lililo-wafurahisha na kushangaza wengi.
"Sina uhakika kwakweli...inaweza kuwa karibuni au baada ya miaka 10".."Hapana natania lakini ngoja tutajua tu" alimalizia.