Ronaldo awashawishi Casemiro na Nacho Fernandez kwenda kucheza Al Nassr
Eric Buyanza
June 3, 2024
Share :
Cristiano Ronaldo anajaribu kuwashawishi wachezaji wenzake wawili wa zamani kwa lengo la kuwashawishi wajiunge na klabu anayocheza ya Al Nassr.
Wachezaji hao ni beki wa Real Madrid na Uhispania Nacho Fernandez, pamoja na kiungo wa kati wa Manchester United na Brazil Casemiro.