Ronaldo hashikiki Saudia, aongoza magoli na asisti
Sisti Herman
March 5, 2024
Share :
Nyota wa Al Nassr Cristiano Ronaldo ameendelea kukiwasha vilivyo kwenye ligi kuu ya Saudia (Saudi Pro League) ambapo tayari amechangia mabao 31, akifunga mabao 22 na kutoa asisti 9.
Msimamo wa wanaoongoza kwa Magoli Saudia;
1. Cristiano Ronaldo - 22
2. Aleksandr Mitrovic - 19
3. Anderson Talisca - 16
Msimamo wa wanaoongoza kwa asisti Sauidia;
1. Cristiano Ronaldo - 9
2. Alvaro Medran - 9
3. Mourad Betna - 8