Ureno imefuzu kucheza Kombe la Dunia 2026 huku Cristiano Ronaldo akitazamiwa kucheza michuano hiyo kwa mara ya 6, mara nyingi kuliko mchezaji mwingine yeyote duniani.