Ronaldo kuchunguzwa kisa ushangiliaji wake
Sisti Herman
February 26, 2024
Share :
Taarifa kutoka mbalimbali kutoka mashariki ya kati zinaeleza kuwa kamati ya nidhamu ya Ligi kuu Saudi Arabia imeanza uchunguzi kwa nahodha wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo kwa kushangilia kwa staili ambayo imeonekana kuwa na ishara mbaya michezoni mbele ya mashabiki wa klabu ya Al Shabab pindi Mchezo ulipokuwa unaendelea hapo jaa
Uchunguzi huo utakaotamatishwa ndani ya masaa 48 yajayo na maamuzi yatatolewa mara tu uchunguzi utakapotamatika.