pmbet

Ronaldo kurejea tena Bernabeu

Sisti Herman

September 27, 2026
Share :

 

Rais wa Shirikisho la Soka la Uhispania, Rafael Louzán, amethibitisha kuwa amewasilisha nyaraka zote ili nchi hiyo kupata fursa ya kuandaa fainali ya Ligi ya Mataifa (Nations League) ya Ulaya ya mwaka 2027 katika Uwanja wa Santiago Bernabéu.

Wadau wengi wa soka wamesema kuwa ikiwa Ureno itafika fainali, itakuwa fursa ya kushuhudia kurejea kwa kihistoria kwa nyota Cristiano Ronaldo katika uwanja wa Santiago Bernabeu ambao aliandika historia ya kuwa gwiji.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet