Ronaldo kuwa MVP wa Ligi kuu Saudi Arabia
Sisti Herman
May 18, 2026
Share :

Mchezaji wa Al Nassr Cristiano Ronaldo ameteuliwa kuwani tuzo ya mchezaji bora wa msimu wa Ligi kuu ya Saudi Arabaia (Saudi Pro League)
Ronaldo anawania tuzo hiyo baada ya kuwa na msimu bora akifunga goli 26 na kutoa pasi 2 za magoli huku Al Nassr ikihitaji alama 3 tu kuwa Mabingwa wa msimu huu wa ligi hiyo.





