Rooney atimuliwa Birmingham
Sisti Herman
January 2, 2024
Share :
Klabu ya Birmingham City ya ligi daraja la kwanza nchini England imemtimua kocha wao mkuu aliyekuwa mchezaji na nahodha wa Manchester United Wyne Rooney sababu kubwa ikiwa ni matokeo mabaya.
Rooney aliichukua timu hiyo ikiwa nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi hiyo, akaiongoza kwa mechi 16 tu kabla ya kutimuliwa kwa aibu huku akishinda mechi 2 na kuiacha ikiwa nafasi ya 20 kwenye msimamo wa ligi hiyo.