pmbet

Roy Keane hana imani na Carrick

Sisti Herman

March 16, 2026
Share :

 

Gwiji wa Manchester United, Roy Keane, ameweka wazi wasiwasi wake kuhusu mustakabali wa Michael Carrick kama kocha mkuu wa klabu hiyo.

Licha ya kuwepo kwa ishara fulani za matumaini wakati Carrick akiwa kocha wa muda, Keane bado hajaridhika kuwa mchezaji huyo mwenzake wa zamani ana ujasiri na uzoefu unaohitajika kuiongoza klabu yenye hadhi ya United kurejea kwenye mafanikio yake ya zamani. 

Wakati mjadala kuhusu kocha wa kudumu ukipamba moto, tathmini hiyo ya wazi ya Keane inaongeza shinikizo kwa uongozi kutafuta kiongozi mwenye ufundi wa hali ya juu na aliyethibitika kimataifa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet