Rudeboy wa ' P-Square' awaambia wanawake, acheni kuvaa mawigi
Joyce Shedrack
March 15, 2024
Share :
Mmoja wa wasanii wanaounda kundi la P-Square kutoka nchini Nigeria Rudeboy amewashushia kichambo wanawake wanaopenda kuvaa mawigi ili kuwavutia wanaume.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.