pmbet

Rudisha mahari niliyolipa kwenu - Yul Edochie

Eric Buyanza

January 3, 2024
Share :

Muigizaji maarufu wa Nollywood, Yul Edochie ametaka arudishiwe mahari aliyomlipia aliyekuwa mkewe May Edochie ambaye kwasasa wameachana.
 

Yul Edochie katika siku za hivi karibuni amekuwa akirushiana vijembe na mtalaka wake kwenye mitandao ya kijamii, leo Jumatano Edochie amemtaka mtalaka huyo aache kutumia ubini (jina la ukoo) kwenye jina lake...huku akihoji kwanini familia ya May (familia mtalaka) bado haijarudisha mahari baada ya kudai talaka.
 

Yul aliandika; “Umeomba talaka. Hata hivyo umekataa kuacha jina langu,"
 

“Nirudishieni mahari niliyolipa, Nimeomba kurudishiwa mahari mara kadhaa, lakini mnakataa sielewi kwanini." alihoji Yul.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet