pmbet

Ruger: Usimrudie kamwe mwanamke aliyekufuma ukichepuka! lazima Atakulipizia

Eric Buyanza

July 23, 2024
Share :

Mwanamuziki wa Nigeria, Michael Adebayo Olayinka, almaarufu kwa jina la Ruger, ametoa ushauri kwa wanaume waliofumaniwa wakiwasaliti wapenzi wao.

Akitoa ushauri huo kupitia kurasa zake za mtandao wa kijamii, Ruger amewataka wanaume waliofumwa na wanawake zao wakichepuka, kutorudi tena kwa wanawake hao kwasababu lazima watalipiza kitendo hicho.

Aliandika hivi: “Usimrudie kamwe mwanamke aliyekufuma ukichepuka! Atakulipizia tu lazima, hata kama atakwambia amekusamehe”

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet