pmbet

Rulani atimuliwa rasmi Wydad AC

Sisti Herman

April 24, 2025
Share :

 

Klabu ya Wydad AC ya Casablanca Morocco imefikia makubaliano ya kuunja mkatraba na aliyekuwa kocha wao mkuu Rulani Mokwena raia wa Afrika kusini kutokana na makubaliano yasiyoridhisha.

"Mlango mmoja ukifungwa ni fursa ya mwingine kufunguka, nashukuru wote kwa ushirikiano niliopata" alisema kocha huyo.

Rulani aliyejiunga na Wydad akitokea Mamelod Sundwons hadi sasa ameiongoza Wydad kwenye mechi 34, akishinda 14, sare 13 na kupoteza mara 7 na sasa akiiacha Wydad ikiwa nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi kuu Morocco unaoongozwa na RS Berkane.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet