Rulani Kocha bora COSAFA, mastaa Mamelodi wabeba tuzo kama zote
Sisti Herman
May 10, 2024
Share :
Usiku wa jana zimefanyika hafla ya tuzo za umoja wa mashirikisho wa soka kusini mwa bara la Afrika (COSAFA) ambapo kocha wa Mamelodi Sundowns Rulani Mokwena alitwaa tuzo ya kocha bora wa mwaka huku Mastaa wa Mamelodi wakitwaa tuzo nyingi kuliko wengine.
Hawa hapa washindi wa tuzo hizo;
Mchezaji bora wa msimu - Percy Tau
Kocha bora wa msimu - Rulani Mokwena
Kipa bora wa msimu - Ronwens Williams
Mchezaji bora chipukizi - Thapelo Maseko
Mchezaji bora mwanamke - Andile Dlamini
Kocha bora mwanamke - Desire Ellis
Hao ni baadhi ya washindi wa vipengele vichache kati ya vingi.