Rulani kuwa kocha mkuu wa Wydad AC
Sisti Herman
July 11, 2024
Share :
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Mamelod Sundwons Rulani Mokwena anatajwa kuwa kwenye hatua za mwisho kujiunga na klabu ya Wydad AC ya Morocco kwaajili ya kuwa kocha wao mkuu.
Rulani anatajwa kumwaga wino na klabu hiyo na atawatumikia kwa miaka miwili ijayo ambapo ataambatana na benchi lake la ufundi.