pmbet

Ruto aikabidhi Shabana FC basi la kisasa

Sisti Herman

April 13, 2026
Share :



Rais wa Kenya William Ruto amekabidhi basi la kisasa la timu kwa Shabana FC lenye thamani ya Sh27Mil (zaidi ya Tsh 542 Mil.) na kuzindua upanuzi wa uwanja wa Gusii ili kuimarisha miundombinu ya michezo.
 

Timu hiyo ya Ligi Kuu ya FKF pia ilipokea Sh20M (zaidi ya Tsh 400 Mil) kusaidia mipango ya uwanja wa mechi katika kipindi cha mpito.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet