Ruto ateua Mkuu mpya wa Majeshi Kenya
Sisti Herman
May 2, 2024
Share :
Rais wa Kenya, William Ruto amempandisha cheo kisha kumteua Charles Muriu Kahariri kuwa mkuu mpya wa Majeshi wa nchi hiyo.
Jenerali Kahariri anachukua nafasi ya Jenerali Francis Ogolla aliyefariki dunia kwa ajali ya Helikopta Aprili 18, 2024.