Ruto awasili Mwanza kuhudhuria harusi ya binti yake
Sisti Herman
November 6, 2026
Share :
Rais William Samoei Ruto wa Kenya, amewasili mkoani Mwanza nchini Tanzania kwa ajili ya kushiriki harusi ya binti yake, Charlene Ruto, anayetarajiwa kufunga ndoa na Isaya Yunge, Novemba 6, 2026.