pmbet

Saa 48 za kuchekesha za Inaki Williams akiwaua Barca

Sisti Herman

January 25, 2024
Share :

Hizi hapa saa 48 za mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ghana Inaki Williams ambaye baada ya Ghana kuondoshwa Afcon moja kwa moja lichukua ndege yake binafsi na kuelekea nchini Hispania kujiunga na klabu yake ya Athlethic Bilbao iliyowaua Barcelona jana huku yeye akifunga bao la ushindi;

 

1. Jumatatu usiku alianza kwenye mchezo wa mwisho wa Ghana Afcon dhidi ya Msumbiji

2. Jumanne Usiku akaondoka Ivory Coast kuelekea Hispania kujiunga na klabu iliyokuwa inajiandaa kuwavaa Barca

3. Jumatano jioni aliwasili Bilbao Hispania kupitia Paris Ufaransa, safari ya masaa 12

4. Jutano usiku aliingia kutoke benchi dhidi ya Barca dakika ya 98 na kufunga bao la ushindi wa 3-2

 

Saa 48 ambazo hatozisahau kamwe.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet