Saba wafariki wakigombea mchele wa bei chee
Eric Buyanza
February 29, 2024
Share :
Watu saba wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa nchini Nigeria wakiwa kwenye foleni ya kugombea mchele wa bei nafuu.
Haya yamejiri wakati nchi hiyo ikipitia hali ngumi ya kiuchumi iliyoleta uhaba mkubwa wa chakula huku bei ya bidhaa za chakula ikipanda kwa kasi ya ajabu.