Sabri Kondo mchezaji bora kijana tuzo za BMT
Sisti Herman
June 2, 2025
Share :
Mfungaji bora wa CECAFA U20 2024 Sabri Kondo ametwaa tuzo ya mwanamichezo bora kijana wa kiume baada ya kuisadia Tanzania kufuzu AFCON nchini Misri.
Sabri ametwaa tuzo hiyo kwenye tuzo zilizoandaliwa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT)
Akiwashinda Muogeleaji Romeo Mwaipasi na mcheza kriketi Luksh Bakrania.