Safu mpya ya uongozi ACT Wazalendo hii hapa
Sisti Herman
March 7, 2024
Share :
Hii hapa safu ya uongozi ya Chama cha ACT-Wazalendo baada ya uchaguzi mkuu wa chama uliotamatika Machi 6, 2024;
Kiongozi Mkuu wa Chama - Dorothy Semu
Mwenyekiti wa Chama - Othman Masoud Othman
Makamu Mwenyekiti Bara - Issihaka Mchinjita
Makamu Mwenyekiti Zanzibar - Jussa Ismail
Katibu Mkuu - Ado Shaibu
Mwenyekiti wa Ngome ya vijana - Abdul Nondo
Mwenyekiti wa Ngome ya wanawake - Janeth Rithe