pmbet

Saka awatoa hofu Arsenal kueleka Derby na Tottenham

Eric Buyanza

February 19, 2026
Share :

Hofu ya Bukayo Saka ya kuumia kwenye mechi iliyoisha sare ya 2-2 dhidi Wolves inaonekana si jambo kubwa la kuhofia, licha ya winga huyo kulazimishwa kutoka kwenye uwanja wa Molineux.
 

Leandro Trossard alichukua nafasi ya Saka baada ya mchezaji huyo kuchechemea na kile kilichoonekana kuwa tatizo la goti.

 

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza alihitaji matibabu uwanjani katika kipindi cha pili kabla ya kubadilishwa, lakini hadhaniwi kuwa ameumia kiasi cha kushindwa kucheza kwenye mechi muhimu.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet