pmbet

Sakata la dogo Paten lamfikia Sallam SK.

Joyce Shedrack

July 17, 2025
Share :

Baada ya mjadala kuwa mkubwa kwa kiasi chake mitandaoni juu ya video clip fupi kusambaa watangazaji wa kituo cha Mjini FM (Gen Talk) wakifanya mahojiano na mwanamuziki wa singeli mahojiano hayo yaliyoleta tafsiri hasi kwa jamii na mashabiki wa mwanamuziki huyo.

Boss wa Kituo hicho cha Radio Sallam SK ameibuka leo na kuweka wazi kwamba anaelewa na kuona yanayoendelea mitandaoni ila kwa sasa yupo Miami akitaka watu wanaojiita mashuhuri waendelee kumtag tu yeye atawajibu akiamka.

Tukio hili limeibua mitazamo tofauti ikiwemo dharau kwa wasanii wa singeli tofauti na Bongofleva, Namna ya wtngazaji kuuliz maswali na mipaka ya mahojiano dhidi ya wasanii studio.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet