Sakho avunjiwa mkataba Raja AC
Sisti Herman
September 16, 2026
Share :

Klabu ya Raja Casablanca ya Morocco imefikia makubaliano na mchezaji wao Pape Osmane Sakho kusitisha mkataba kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Hatua hiyo itaiwezesha Raja kupata nafasi wazi ya kusajili mchezaji mwingine wa kigeni.





