pmbet

Salah awa kwanza ktk historia ya Liver kufunga mabao 20 ktk misimu 7 mfululizo

Eric Buyanza

March 16, 2024
Share :

Winga wa Liverpool Mohamed Salah ameendelea kuandika upya vitabu vya historia chini ya Jurgen Klopp.

Siku ya Alhamisi jioni, Salah alifunga bao la tatu la The Reds katika ushindi wa 6-1 wa Ligi ya Europa dhidi ya Sparta Prague, na kuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya klabu hiyo kufunga mabao 20 katika misimu saba mfululizo.

Ikumbukwe mpaka sasa Mohamed Salah ana mabao 206 katika mechi 336 akiwa na jezi ya Liverpool, bila kusahau assist 92.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet