Tangu ajiunge na ligi ya Uturuki, winga wa Misri Mohamed Salah amekuwa mwiba mkali kwa wapinzani wa timu yake ya Trabzonspor kuwa na takwimu hizi;Mechi 6Magoli 4Assist 1