pmbet

Samatta akosa penati timu yake ikitolewa nusu fainali

Sisti Herman

February 21, 2024
Share :

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta, amepoteza penalti ya mwisho na kuifanya timu yake ya PAOK ya Ugiriki itolewe kwenye michuano ya Greece Cup kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili dhidi ya Panathinaikos baada ya ushindi wa PAOK wa 2-1 ndani ya dakika 90 za mchezo.

PAOK walimaliza dakika 90 za ushindi uliosawazisha matokeo ya jumla kwenye nusu fainali ya pili baada ya mchezo wa kwanza wakiwa nyumbani PAOK walipoteza 1-0. 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet