pmbet

Sancho aingia kwenye rekodi za Neymar UEFA

Sisti Herman

May 2, 2024
Share :

Baada ya kuisaidia Borrusia Dortmund kushinda mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya ligi ya Mabingwa nyumbani dhidi ya PSG, winga wa Uingereza Jadon Sancho ameingia rasmi kwenye orodha ya wachezaji watatu bora waliokokota mara nyingi kwenye mchezo mmoja wa hatua ya mtoano ya UEFA baada ya jana kukokota mpira mara 12 jana.

Orodha ya wachezaji wanaoshikilia rekodi ya kukokota mpira mara nyingi zaidi kwenye mchezo mmoja wa hatua ya mtoano ya UEFA:

1. Neymar Jr - 15
2. Noa Lang - 13
3. Jadon Sancho

Mchezaji huyo yupo Dortmund kwa mkopo akitokea Manchester United baada ya kuondoka kwasababu ya kuwa na mgogoro na kocha mkuu wa klabu hiyo Erik Ten Hag.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet